Farm land for rent

Wadau, naeza pata wapi shamba ya kukomboa karibu na Nairobi or Nakuru?
Naskia kuna hizi shamba mtu analipia ka 10k annually. Anyone who can connect me?

Utatokwa mchana wazi na hio lease yako. Okuyu atauza shamba ama upewe ya wenyewe. Ogopa sana

Retarded comment from a jaruo . Degree muhimu sana

No, kuna scammers huku nje sijapinga, but kuna wengi legit, those are the ones I am looking for.

Best bet ni hiyo barabara ya engineer. Ama Nyandarua