Family get together

Kwenu mnakuwaga na get together ama mashamba ilileta shida?

Hizo story zilidedi, when we were kids our parents use to take us to some uncles house almost every weekend or several relatives would come to our place.

Siku hizi people don’t even want relatives visiting. Mnakutania huko inje alafu kila mtu anaenda kwake.

Get-together ni kwa mazishi na harusi

Hehehe. It’s the same case all over. Kila mtu akae kwake

Wueh. Siku hizi ni kubaya

Shamba iliharibu, kuna watu hatujaonana for almost 10yrs.

Sisi kwetu ni twice a year, August for cousins and Dec for the whole family…yaani zinaudhi na if you don’t attend you are called names…yetu hua ya watu kama 300 considering grandpa had 5 wives and all my uncles are polygamous…luckily my uncles have never fought over land kila mtu alipewa 5acres kama ameenda zake

I love get togethers. Thank God your family is together.

Never attended any family get together, kila mtu akae kwake tutaonana kitu serious sio kupiga kasheshe

Waa ati 300? That’s a complete village

Wueh.
Sisi huwa tunakutana especially Dec but kuna bro mmoja alijitenga but ni upuzi yake. After the land was subdivided, jamaa bado anataka akulie kwa wengine na kwake huweziguza kitu. Ukimwambia aachane na crops zako anafura kama mandazi

Kuna kuanga pia na issue ya wengine kutokelezea na ma gari kali kali na ma iphone 13 na watoto wao wa “group of schools” wakati wengine wame arrive na matatu na vumbi na kabambe na watoto husomea public schools.

Kukiwa na funds being raised wengine wanatoa 50k na wengina 50 bob.

Hao wa 50 bob hua hawataki kutokea hizo occasions

True… hao wa 50k hupewa VIP treatment na kila mtu hutaka kuongea na wao.

Why would they, if such meetings melt into financial showdowns?
Believe it or not some people find meetings noisy and non productive, while some gain a life or two flaunting their wealth in the faces of their 50 bob raising, public school children attending, psv clambering and kabambe operating family members…you bougie mf.

Friends are better than family, especially church friends they’re simply the best people on earth! Family get togethers are every week or bi-weekly, it’s called church.

These get-togethers used to be there kitambo on my end huko 90s-2000s but when I got older I realized some bullcrap and other relatives who thought they were better than others and all they wanted to do is be all about in your business n’shit and they got cut off.

Most of them never wish you well and actually expect you to “fail” and go crawling on your knees to beg for help from them, I have experienced it first hand.

The community, read Church, where you live and attend, comes through better than family in most times.

No familly get together thats why you guyz mnakula hadi familly members

Hadi mazishi kuna watu hawakuji.

Hao wa 50bob ndio huambiwa wawashe moto, waoshe vyombo and such low jobs. Huyo qa 50k unaskia wee si uchomee nani mahindi na amefika

Friends can never be better than family. My family are the only people who I know can come through for me 100% without questions or judgement.
Friends unasota kidogo Hata hawashiki simu yako

We have our minor differences…but sisi hutokea kinyama.
Kama una beef na mtu una submit complaint kwa whoever called the meet and inakuwa solved amicably.
We then have serious fun as a fam.
Watu wakienda ni silent treatment till next meet :smiley: ama una dunga risto na those your close too.
We a bunch of pretenders but a swell bunch of pretenders tuko pamoja kabisa we see each other thru regardles.
Meet zetu lazima mbuzi chickens zianguke na wines creams beers ka cham katambe…LAZIMA.