Family car who should use it

Ok Kuna this pickup @HOME nainaleta issues…

So I need to carry some gas kitu 100 pieces, Sina pesa ya kuhire transport , it hits me oooooooooh home Kuna pickup lying there , what if I fuel…

Woiiiiiiiiii , my uncle refused with the keys etiiiiii oooooooooh lazima nilipe , namulipa Kama Nani nasiyake …

This is an extended family, I go to the shop buy sugar, some cigarettes and naamua to visit the other uncle , napokelewa kwa furaha as I give them the goodies, itsthen I post my request , yule uncle mwingine analeta hizo funguo , Bibi yake m sure ndiye anamwambia asinipee, … hehehehe welcome to gikuyu family n why we fight n hack each other…heshima idumu

Maxwell Macharia niaje

hujawacha kutumia ile kitu? utachizi

Who is the registered owner of the pickup?

His grandfather

With this mentality you will soon ground the pick up. Kama kila mtu atakuwa anatumia bila kulipa pesa ya mentainance itatoka wapi?

So na hii excuse unaplan kuhack nani MachaWaHekaya?

If all his cousins, uncles and aunties decide to lay claim on using the truck, that pick up will be grounded very soon.

Nunua yako, mali ya uncles & aunties si yako, ukinyimwa kubali matokeo

Gari sio kiti yenye kila mtu anatumia

This is the problem. It should have been part of their succession proceedings so that there is a clear owner.

Have an agreement with them. Kubali kulipa hata kama ni baadaye. Its only prudent to do so.

Typical mind of bizness men, it is all about I, me and myself.

Maxwell macharia Kamau

Mali ya Uncle yako wachana mayo. At this rate utadai hata kukamua bibi yake.