Fake solar batteries - this is too much now

You think you are buying a high capacity battery, kumbe huko ndani wameweka a tiny battery na kujaza concrete. Hawa mahasora have gone too far now.

[ATTACH=full]490039[/ATTACH]

Some zimewekwa glass panes instead of lead plates. Kumbe the “affordable 100ah battery” is a box of glass. Hii ni hujuma. Mushaina is finishing us.

cc @mtadao

[ATTACH=full]490041[/ATTACH]

Long live Xi

Kuna mahali naona ni Kama niligongwa na ujuaji yangu damn it

1 Like

These type of batteries should be lighter than car batteries. Ukipata ina uzito fulani kataa story

Now you know why they were affordable.

KEBS na KRA should be disbanded with immediate effect.

100ah should weigh about 30-32kg, 200ah should be 60-65kg.

Pia powerbanks wana weka battery cell moja… Na mchanga kilo moja… :smiley:

Na wanaandika maintenance free to make sure you never think of opening it up. Don’t buy anything solar on Riveroad, Luthuli etc. Go to real companies like chloride exide. Hawa matapeli wa duka cbd can’t even figure out how many watts you need for your 3 solar bulbs and a TV.

Solar battery usibuy maintenance free. Iyo ya kumaintain ni far better pia coz utakuwa umefunga story ya battery for some years

Hehe. Pia mimi na ujuaji yangu naona ni kama nilicheswa

:D:D:D:D hizo ni za kariobangi. Sio za china. Kuna wasee wananunua battery zimechapa, mnadhani huwa wanapeleka wapi. Battery hata za chloride zinachapa haraka, kumekuwa na so many dealers. Wanauza vitu fake.
Cc. @Wanaruona

niliskia kun wengine wana kuja na nameless batts wana zi patia jina huku

Kimwatt - Kimani WatĂ­rĂ­ Teresia
Maxximat - Maximilian MatirĂş

Ni mingi…

Not so direct. Bought a 200 Amp hour battery pale chloride exide Kampala Road. That shit is heavy

Watu wanunue hizi vitu from major distributors. Hizi cheap things from shady ppl zinawaumiza.

Thank You!

But Kenyans being Kenyans love their shortcuts…Jua Kali…Then they complain and come crying… Wafala sana. :D:D:D

Kuna boy alinipea homework nimtafutie battery ya solar from chaina.

Ulibeba oriji ya hio type. Fake kabsaa.