Fake/ Social media life

Kuna morio wangu alinikopa 50k last week ati business iko Chini, anataka kuinua stock…kuamkia Leo naona Dem yake amejaza photos kwa whatapp ati wako Diani holiday…wanaume siku hizi sijui watasaidika aje, I guess the nigga used the money to take the bitch holiday instead of adding stock…Sasa na worry kama hii pesa yangu itarudi Bana.

:D:D:D:D:D:D …let me be polite, was there any repayment agreement

utarushwa

:D:D Hiyo haiezi rudi…iza meen

Ata afadhali angekuwa ni bibi amepeleka.
Sasa friendship hivyo ndivyo itaisha.

Uko na number ya dem ya beshte yako aje Kwanza?

Rule number 1,loan out resources you Will be comfortable to Lose.
Rule number 2,don’t forget rule number 1.

Sasa juu amekukopa hawezi enda holiday in peace?

:D:D Jana nilikuwa Quickmart liquor section nikaona msee amenunua pombe ya 20k nikashangaa.

Hakuna, ni gettlemen agreement.

You are about to lose your money and a friend!

Hapana kopa, hapana kopesha. Mimi husaidia watu na mawaidha, material resources zangu ni kidogo haziwezi saidia mtu

Business ilikuwa pochi la biashara ya bibi…aka rosecoco. Hiyo pesa sahau

The problem is that unakopesha mtu pesa. Then wakati wakulipa jamaa says, Sina pesa.
In most cases there is nothing you can do because most of the time its a friend or a relative.

Kukopesha marafiki pesa is one of the quickest ways kuharibu urafiki

Always lend money that you can stand loosing…ukiniomba 50k nakushow i can do 20k…i rather loose the 20k than 50k

Coz umezoea Chrome ya 650bob bana…watu wako na pesa kijanaa

Our own illeterate mkamba mjinga @PHARMACY is enough example.

His real life

Fake ktalk life

Nb: he doesn’t have a life outside ktalk

2023 katalia pesa. Usipeane

Why?