Fake products

Hii Kenya yetu kila kitu ni fake tu. From fake alcohol to fake phones and now we have fake motor vehicle oil. Be careful when buying automobile products out here.Bro huwezi patia a 22yr old girl 30bob awekelee bet unafikiria unaweza nunua kibuyu moja ya motor oil ya like 7k?

2 Likes

Uliacha kulipia malaya rent?
Nikuulize ile honda crv yako mahali unabebea bibi na watoto ndo bado unabebea nayo malaya ukiwapeleka dam?

Yap…nirushie hapo ka 22yr old nikabebe pia nikatombe hapo kwa Dam

Wadau hii ni ukweli. I bought yoghurt nimehara nonstop for 3 days. Natembea na tissue on standby. I missed yoghurt na energy drink. Hizo sumu sikunywi tena.

2 Likes

Wewe kitu inafanya uhare si inaweza ua mbwa.

2 Likes

Stopped using Shell Helix Ultra after buying 4litre can kwa Shell station alafu nikiservice moti mechanic akanishow niaje hii oil haina seal. Nilimwambia asitumie hio oil.
Castrol oil pale Rubis is what I use since

1 Like

What brand was it?

1 Like

Be nice :joy:

1 Like

I only buy Total engine oil

Brand siwezi kumbuka but it was the lowest price.

Hii ni lube poa sana ukitaka kuingia dem mkia

If you drive an Otoyo, ebu try the Toyota oil from their Franchise shops, else shop around for Valvoline, Motul, Castrol in that order, 5K KMs preferably.