FAKE MONEY

HOW DO YOU DIFFERENTIATE FAKE N LEGIT NOTES? MY NEIGHBOR (74 YRS OLD) AMEUZA NG’OMBE SAII(46,000) NA AMEENDA KUWEKA DOE MPESA AKAAMBIWA ZOTE NI FAKE,SHES JUST A GRANNY NA HAO WATU WAMENUNUA WASHAENDA,N NOBODY KNOWS THEM… :(:(:(HOW THE HELL DO YOU DO THAT TO A GRANNY.

:eek::eek: hiyo ni heartless sana

1 Like

tabia mbaya sana hio ni laana ya kujiletea ibia mkamba mujinga kama @vuja de lakini si granny

15 Likes

very bad indeed. juzi tu, a neighbor invested in a small kiosk and included an mpesa agency. She employed her ex mboch to operate the business. Wanaume wamekuja kudeposit 30k cash. kumbe zote ni fake. Mathe mwenye nduka karibu atoe nguo.

4 Likes

some goons are just heartless…another one purported to buy my elderly aunty’s ten jogoos she had lovingly nurtured to maturity at 800/- each. he then sent her one of those fake text messages that start with MPESA and then a cooked up code. the shameless man had the audacity to add “Naona nikulipe na mpesa juu vijana wakijua nimekununulia kuku wanaweza kuja kukusumbua…hata nitakuongezea mia tatu ya kutoa…”. if i found him cornered somewhere i would pour petrol on his gonads then…

14 Likes

this is just sad

hiyo sio poa banaa

1 Like

next time tell her biz of high numbers be done by depositing in the bank. that’s best way to avoid fakers and thugs. Akisha deposit then hio ng’ombe license to exit follows.

1 Like

hiyo ni laana.

1 Like

Niko sure hizo pesa huenda kwa pombe na Malaya. Sahizo hao wezi hakuna project yao hata moja inasucceed. Wenyewe wanashinda wakijiuliza kwanini biashara zao zinashinda zikianguka.

8 Likes

Any Kenyan note, 50, 100, 200 etc has black stripes on each of the four corners held against mwangaza

3 Likes

Nishawahi pewa 200 fake. Stayed in my wallet for several days without using it. Then after 3 or 4 days nikitafuta change ya 1k I noticed that one note was decolouring and it was stuck to two more notes on either side. immediately nikajua nimegongwa but since it had been a while, I couldn’t remember where I had got it.

1 Like

Con men and scammers have realized how gullible people in rural areas are compared to nai etc…ndo maana wamehamia uko…

2 Likes

so sad

Laana. Afadhali niibie @vuja de vile Navy Seal amesema hapo juu.

2 Likes

wanaweza lipuka kama petroli any time ama? cc @introvert

6 Likes

Hehehe… Extremely flammable…
[ATTACH=full]58054[/ATTACH]
[ATTACH=full]58055[/ATTACH]

8 Likes

Sincerely, I had to check with all currencies in my pocket! Sijawai jua.

2 Likes

kenyan doo fake hata nikiwa kwa giza naifeel tuuu

Upus tu, mimi watu hawa watu wa mpesa waliosha shosho yangu 4ok juzi tu. Alafu hio pesa haikua yake alikua amekopa aunty yangu so that she completes her mjengo. Sasa she has to look for mullah from elsewhere not to build her house but kulipa deni of which she didn’t even use a cent. She was so stressed and I could see she had cried. From then on nilimwambia when she wants to spend a huge amount of money she consults with me first and nowadays she gladly does.

Wanadamu hawana huruma bana

14 Likes