For the last two times I bought my favorite KC coconut from somewhere in south B, I noticed that the coconut flavor is being gradually replaced by an imitation. Its hard to notice unless you are a die-hard fan like me, or you compare the taste of this fake with the true one side by side. Where can I report this faking wapusi before they completely corrupt my favorite past time?
Peasant teremka coast umbugie mnazi yenyewe utakavyo weza.
what is KC?
Kenya cane buda, coconut huwa chonjo
hatutambui peasant drinksā¦
Hata hio KC coconut unaita origi bado ni fake, jaribu kitu origiā¦
[ATTACH=full]51540[/ATTACH]
oh, in that case huyo NV anapaswa kuacha pombe, afadhali you just quit that start drinking this 7th generation drinks
glass kangu kakao empty, si uni roge kiasi[ATTACH=full]51541[/ATTACH]
Kuna faxe fake?
hehehhe hio line ya UNIROGE tulikuwa tunatumia 2002 .
but KC coconut ni upus hata wangeweka KC pineapple ama passion .
wewe ngombe ya wenger unabet 20 bob daily sport pesa na haushindi kitu pesa ya malibu utatoa wapi ?
Kwa nyinyi wote, mifuko haitoshani. Vile mnajiona mumefika, bado kuna wengi mbele yenu. Let me beā¦
hiyo Enzi pia tulikuwa tuna Binja Nyapu
I hate c0conut
:D:D:D
Heheheā¦uliwekelea msahara yote ya 20k kwa brazil world cup ukakamuliwa hadi kwa mkia:D:D:D:D
Clichy akalala njaa na nikasema siwes bet tena wacha ikae .
bugia konyagi-passion flavour, havent come across a fake one!
[ATTACH=full]51549[/ATTACH] [ATTACH=full]51550[/ATTACH]
sasa @biraru mimi kwisa, mi ni konyagi damu, kinywaji halisi
hio konyagi passion nilimeza haikunilewesha ikabidi ni topup na jugdaniels