Facebook

Years back fb was the shit. Every sane living human was on it
Now… not so much
I just ended an 8 year relationship btwn me and facebook (Since form 1)
That one account had like 100k DM’s i swear
Got too clutered, too messy and am not cleaning it up
Am not opening another one either (i got a century of bishes now)
Weh.! Feels like a break up
Peace out facebook!

And now a video if fb had done the dumping
Not great

[MEDIA=facebook]id=343812022777503;type=video;user=VIDEOOTI[/MEDIA]

Fvck you Mbwa.

watu wa facebook wanakuwanga na ufala sana

Hii upuuus ungeandika huko fb au inbox zukabaga.

Bagaaa !!

ulikuwa form 1 8 yrs ago?
na wengine wetu tulikuwa na A- in 1994?

Tukiwa High skul sisi wengine ni Tu radio ndogo tulikuwa tunaficha ndo tuskie Metro FM na kupiga simu ilikuwa ni Booth Ya Telekom Landline moja kwa shule.
Hacking ilikuwa ni kugonganisha handset holder ndio upige simu ya sare!

SV ulikuwa form one 2010

Mi nakumbuka back in 2006 nililipa sh.150 ndio nifunguliwe facebook account pale Eastleigh california cyber

form 1 nilikuwa 1999

Mbona husemi weh ni Alumni wa; Otorng’ong’o DEB Harambee School
kwa ma Vichwa maji! :smiley:

Na kufunguliwa KTalk.com ulilipa ngapi?

:D:D bob ya bundles tu