Jamani naomba kuuliza, huyu malaika mfunga mitandao ameishashukua tens FB au ni kwenye simu yangu tu?
Itakuwa simu yako tu.
Duuh
Simu yako fb imekuwaje ?
mh ngoja niangalie
mimi jana ilinisumbua leo sijacheki
Dawa ni kuwa na simu ya tochi tu, jela mpaka ubake. Na sio kwa ku-post.
H
hahaha
Akihamia na fb anaomba uraia kenya kbsa