Faaack Nakuru is Ruto-Nated

I arrived today hapa mashinani,baada ya gumzo kidogo na wazazi nikaamua kutokeleza kusikiza maono ya watu kuhusu uchaguzi.

Well, last time I was here people had not decided but saa hii ni kama wote wako Ruto-nated.Kwanza huku Wanyororo kwa kina @Shamsudin wanasema Ruto tosha.

On MP part am supporting them in their quest to elect Kimani Ngunjiri,hakuna vile mtu anaweza toka Embu akuje ku vie for MP in Bahati ni kama hakuna watu,huyo mama ashindwe.
Ata governor majority are sticking with Lee but president wote wenye nimeuliza wanasema Ruto…Shait sisi kwisha

I told you that Ruto will win this thing by a landslide. That’s why the old kîhîî feared to come out for the debate yesterday

Yule Mugo alikuwa na shule hapo Wanyororo bado ako?

Hii kitu Iko 50-50 with a high chance that we shall have a runoff. Either that or whoever wins will do so with a very narrow margin.

Shule gani? Inaitwaje?

Final poll will be
R - 53
R - 45%
Wajackoyah & Waihiga - 2%
We can open an escrow account and everyone in this forum can place a bet against the figures above and I’ll match the amount that each person wagers.

Nice try. Now properly indicate your predictions with either a Ra or a Ru

Seconded.

unataka kuniambia pia wakisii wa hapo ng’ombe moja a.k.a kariminu, ni wa hasira party?

Sikuongea na mKisii yeyote,so sijui msimamo wao,wenye nimeongea na ni wasee most wako below 40yrs.
Nikirudi home ndio nimepatana na wazee fulani hao ndio unasikia wakitajataja Raila.
Inakaa Gen Z ndio most wako Ruto-Nated

Hapo kwa wajackoya na Waihiga ndio sure bet. Sigwes wekelea bet on the other two.
Kuna possibility we shall have a repeat of '07. Remember tulienda kulala when Ra was on the lead then the following morning Tharaka Niithi happened and Emilio won.

Monica or something like that

As mount Kenya pointman hio kitu uncle anachukua asubuhi na mapema

st monica ni huko juu ukielekea danger.

Dr. Ruto is in ascendancy.

St Monica nadhani bado iko

wapi? hapo kirigu si kuna watu wa assmio ndamu?

Gen Z gotta be the most retarded generations in history ever, at least here in Kenya. Despite having access to first hand credible info on their fingertips that can assist in making better decisions, somehow this generation makes the most retarded choices

Relax. The president’s move to campaign huko leo may change that substantially.

Then do you mean Martha Karua has had no impact?

Umeongea na those mungetho guys wale wa kuomba sigara na kumikumi.
According to a personal friends of mine who reside in Nakuru County, one in menengai and another in Thayū, Bahati, the ground shifted in AprilJune period. They also shifted with the ground and are strong members of Jubilee.