FA Cup QuarterFinal Draw... Chelsea vs Man. Utd

Sisi Arsenli ni mteremko…hopefully tuchape Sutton kesho…si mmeona vile Blackburn wamecheza leo…msidharau hizi league teams wakiwa home

[ATTACH=full]84672[/ATTACH]

Manchester NJEEEEEEEE!!!

6 Likes

kwanza wanacheza Stamford Bridge

2 Likes

semi final ni Chelsea vs Man city na Tott vs Arse…this FA ni mwoto sana

Wewe ako ka-middlesbrough si team hivi hivi kwanza wakiwa home ground

Pep ataweka ile starting 11 yake ikifika hapa…Jana aliweka team wasi wasi bana.sema bets kuchomeka

2 Likes

What’s the application or site for watching online , elimisha tafadhali

Don’t write off Team kubwa man utd yet.
Bring on chelsh*t.

I use batmanstream.com

Hio ikikataa naenda
Dimsports.eu

Iki leta nux naenda vipleague.me

Iki leta show naenda reddit

1 Like

wolves walitulemea sana jana

2 Likes

Go to reddit, search for the match, utapata links kama zote

But most zinakuwanga na nyuma hadi upto a minute bwana. I prefer ifirstrow.eu iko na less delay (5-15 sec)

Kama uko na enough bandwidth, enda Reddit - Dive into anything

If you don’t mind poor quality, but you want the quickest stream, enda www.stopstream.tv

[ATTACH=full]84681[/ATTACH]
Huyu ni @wildfrank

2 Likes

Who said Chelsea is unbeatable.
Msilete small team mentality ya Arsenal hapa.

1 Like

[MEDIA=twitter]833385446096920576[/MEDIA]

1 Like

we may cause an upset hopefully, but the odds are stacked against us…na kwanza tuko away.

seems chelsea thrashing haijawatoka…watch it bro…this is a new man utd and we’ve learned alot from our first encounter with them

1 Like

Hehehehe…You will learn some more when you meet them once more…Kichapooooooo!!

Chelsea tuko nyuma yenyu.