F*ckin Mboches

Saa zile wewe na wife/huzzie mko busy hustling your asses mkitafutia mtoi, Kejani kwenye mumemuacha hajui afanye nini kwa vile yumo mikononi mwa gaidi.
Wazazi tunayoyapitia na tuliyoyapitia ni mengi, lakini haya siyawezi.
Video yenyewe ni ya kuhuzunisha kabisa, hivyo basi…
[MEDIA=facebook]626558954183660[/MEDIA]

Free advice to everyone who will read this. Wachana na mboch.

Edit: this was after watched the video.

Watch over your children

mtoto anapigwa kama isukhuti

I CAN KILL THAT BITCH

It’s sad

So so so sad…nikiona io video nkiingia kwa nyumba jioni naanza na buti ya kifua

Whomever is recording, is equally culpable.

Mimi naanza na shoka ya kisogo

Huyo wa kupiga video alikuwa mbotch wa next door alikuwa ametumwa na mwenye nyumba kuchukua evidence. Lakini si unajua ma-mbotch na ujinga wao, anachukua video juu ni assignment kubwa anasahau ku-control situation, mtoto wako unaona evidence kweli kweli first hand.

This mostly starts from the parents. If you don’t treat the mboch right… atatoa hasira na mtoto wako

I did not watch and will not watch that clip. Contents too predictable and shocking. People want to pay 5000 a month for the cheapest possible 70-IQ half-child to take care of their precious baby.

I once heard,how your mboch treats your kids when you are away depends on how you treat her. Ukimtesa they take it out on your kids

Such an evil bitch. I feel like throwing something with sharp rotating blades at her. This is just nine minutes. And to think that the kid spent the whole day with this villain… oh man.

Some people have never had power over anything in their lives and when they get someone/something they have ascendancy over, they just go insane.

Nope!! There is no excuse whatsoever for committing such an act. Simply put this is pure evil.

Most of the women treat mboches like trash just because she feels she feeds her and pays her and at times delay paying her. Hasira zote za job anatolea kwa mboch but sa inabidi mboch avumilie due to the desperate background she comes from. Do you expect the same mboch to treat your precious kid like a gem?? Never ever!! Treat a mboch better & your kids will love her better than you.

This is very sad…can’t get to a minute!!

Or else stay at home and look after your kids.

:D:D:D:Dhii imefanya nicheke.

Wtf…that child will have a mental disorder due to the trauma…hapo ndo mtoto anakuanga sex offender n u wonder where u went wrong…

Its traumatizing! Imagine what those parents are going through…