Explanation needed

I have seen that the cdf fund was declared illegal by the courts. This got me asking many questions.
Nimeona a member of parliament earns 710,000 per months ukieka benefits inaweza double, Swali ni how are they able to live lavish lifestyles with such a salary na vile wao hupeana pesa, nielezee vizuri hao huiba aje pesa ama wao hutoa wapi hizo pesa mingi.

Tuanzie na mtu mdogo ameingia county gavament juzi…ushawai ona venye fortunes zao hu change…jamaa anaanza kununua tu plots apa kule…anajenga ana buy ka probox na ata hajakaa…multiply those kind of underhand deals by a 1000 for an MP and then you will get a rough idea

Bila cdf mambo sio rahisi

swali ni deal gani hio mp anafanya kwa constituency ama ako incharge of pesa gani exactly?

Its the Parliamentary Committees that work miracles for them.

Kuna allocation za Barabara za mashinani kama kerra they are in charge of, hapo watapata kickbacks.

Ndio maana mps wengi wanakimbia UDA ndio wakule vizuri.
They get sweet government tenders where they make millions.

Alafu wako kwa different committees zenye wanakula pesa.

CDF bado iko. There are two acts , CDF Act 20XX, and NG-CDF Act 20XX . Moja ikachujwa wanadandia hio ingine …MPigs

By what I know, they award themselves constituency tenders through proxies. Mtu ndiye anajenga barabara fulani ( they prefer overpriced murram roads). Unakuta all the plant used is his and the hiring rate iko over the roof. Cdf or no cdf the contracts will always land in their hands na pesa itoke bila kusumbuliwa since they are the lawmakers.