Ulikuwa Advisory ama Risk Audit?
London
Madam ako banking GS
Consulting
Ni almost 230k… 1b london expe ni around 2500 to 3k
Zii…central london 1b ni around 3k. 5k maybe new york
Tech consulting…mostly implementation
Safi sana elder
Honestly I was living well in KE but venye nilifika hapa it’s so different systems work…
Housing is quite affordable there. Huko US even in the rural areas, one bedroom luxury I hear is about $2200+. Your savings plan is very good.
Leta links nikamue
True…a friend ako san Francisco analipwa 160k usd but alisema life ni expe…normal 1b ni 4500 so anaishi kwa dorm na random people…us sio mchezo…na pia nyinyi racism hapo iko mbaya
Hmm, this story sounds too good to be true, lakini ni sawa tu. Bahati yako msee, all the best in your journey
Damn!!
Apo sawa mdau. Apana kuwa lazy though
Usijali pia wewe najua mambo yanakupeleka sege mnege…mara bibi na watoto mara crypo kunywa wode…utaamka tu mkuu
OP anatuvako. Bila evidence…
Hizo circles za Tech Consulting nazijua sana,Wengi wenye najua wanaenda place inaitwa Isle of Man,hadi watu wa Audit.
Ni kama huko pia sio kubaya
Ex big 4 ni wengi sana, huwa tuko na catchup ya wakenya napata wengi ni ex big 4. trnasport ni Bus, Rain, Tube etc…niko na pass ya city mapper ya zone 1 na 2, 34 pounds per week. Nikienda sherehe ndo huwa nalipa extra.