Leo nimepita tao nikaona V-One which was former Apple bees ni kama ilifungwa juu nimeona siku hizi kuna club imefunguliwa hapo inaitwa EX9 anybody mwenye ametembelea hiyo club atupe story
Wah! Ile raha ilikua cbd sometime back… Tangu Uhuru aiingie amekill party life cbd
Ouru amefanya kazi Bwana!!!