ex girl friend

Nimeoa niko na miaka tano sai toka nioe bt ex wangu bado uanifuata na pia ye ameolewa,Nifanyeje

[ATTACH=full]168743[/ATTACH]

Kula vitu. Na uchunge kaburi iko hapo kwa kona. You know, just so you have a perspective.

sisi tutajua aje honestly akikufuata badala usimame umuulize unatuuliza …nipe nymber yake nkulizie on your behalf

This village is ISO 2018:2000 certified
Leta effidens ya ex ama kuoa ama futa thread. Meffi

[SIZE=7][COLOR=rgb(184, 49, 47)]SEE ME[/SIZE]

Mimi nimefuatwa na ex baada ya miaka ishirini. Kumbe ndoa yake ilikatika…

@LIEN kam kias

siogopi kaburi ila naogopa adhabu za kaburini

Alafu aka do what

see you

Ati nimupekee nangos yake?

@Mundu Mulosi your expertise advised is urgently need here.

Tom Bayeye. iko nini my fren?

Chapa ilale…Kesi baadaye

[ATTACH=full]168796[/ATTACH]

Anakuf uata ukienda wapi?

adaisha bado uanipenda

After miaka tano ama mumekuwa mukifuatana?

FYEKA

Kwisha