Everyday Is A Beginning Of A New Year, Hii Ujinga Ya Gregorian Calendar Haimanishi Anything

THAT IS HOW IT HAS ALWAYS BEEN SINCE THE DAYS OF Zinjanthropus

Everyday the earth completes a rotation around the sun. May 6th, August 2nd, July 11th any day you pick is a NEW YEAR.

Zinjanthropus

6 Likes

Let the people have some fun.

Wameteseka mwaka mzima

2 Likes

Happy new year bonobo

1 Like

Reusable panjeet rocket

1 Like

Your birthday is always the beginning of your new year. That’s why you should always celebrate your birthday coz it ushers you to another year in your life. The only people who should celebrate the beginning of a Gregorian calendar are those who were born on 1st January. Foolish people be wise

3 Likes

…how about the nine months, si msee anafaa ku deduct hizo miezi 9 awe ana celebrate day the egg was ferterlized. Kama wewe ni wa september then una celebrate hapo jan.

Siku hizi hata messages za happy new year watu hawatumiani, ukiona msee amekutumia jua anataka kukuomba mbirrions.

Alafu there is nothing new about the year, siku ni ile ile 24 hours…

Ndio naamka sahi, naskua mbuzi inalia kwa jirani. Lazima nitakula mnofu.

Hapa kuna kaukweli Kuna mbili nimeona saa hii nikaanza kutoa kajasho kale kembamba. Wasee huniongwelesha (thru texts) tu saa zile wanataka kakirru bana Sasa wamenitumia new year wishes ni kama zimeniharibia siku I say

3 Likes

kama everyday ni new year, si kutakuwa na confusion mingi kwa dunia? elder akikwambia mkutane new year, wewe unajua ni 11th July, yeye anajua ni 13th march,

May 1st nayo ni upus ,Madaraka day ni ujinga pia.

You can’t count those coz you were still developing in the womb

1 Like

…but thats when life started forming and should therefore be considered

1 Like