Everton inaua nyoka

Nani mwingine anaona Gor Maniac wakicharazwa 8-0?..2-0 already 25mins in. Na hawa wazungu ata hawasherehekei bao, wanacheka tu:D:D:D:D

Hawa nyeusi hakuna kitu wanajua kazi ni mapararira mingi na kutupa mawe. Gorchieth

I think Gor are playing good football.

EPL teams kwanza usoma game ya opponents hawajui first 15mins. They let u play your game alafu wakishasoma coach anarusha instructions pale. Alafu mnachapwa mabao mnakufa