Evening Chat

Hello talkers, I hope y’all had a good day. Let’s have our daily evening chat - leo Friday inakubambia wapi?
Mimi naelekea Tribeca to grab a cold one, then the weekend will kick off!

PS:
@Ice_Cube, niliskia asubuhi ukiitishwa mpango na @Purr_27. Usituangushe bro, make sure shit goes down tonight
@Kidinyi. Wapi hekaya ya hii wiki? Ama pesa ya kukula mapoko iliisha
@Ka-Buda. Tunajua huko bado ni mchana, but park your Bedford on the roadside, get out and shout TGIF!!
@Wakanyama. Chomesha kanyama ninakuja
@uwesmake. Kamata Gilbeys yako poa, leo you have to wrestle a momo in a nude match

6 Likes

Ni saa kumi aisee. Si mngoje tutoke kazi jamaneni

1 Like

Haha, usijali buda… some of us tumehepa job

…muguka ya chama imefika kutoka Mbeere
bado 57 minutes kaanze kushika

1 Like

One of my buddies likes that stuff, I always wonder why. A little phombe and lots of beautiful, big ass beauties is my drug

3 Likes

employees.
end month?
every day is friday to me

@ bureuri,ulitoka Somalia?

end month sasa…?!

@pamba.
Unasemaje bwana?

#EndMonthTings

mi leo natulia na ka-series,crazy cock na coke baridi

Trendz Lounge…Liquid Silk ni baadaye.

Hey girl, would you care for a drink tonight? Everything on me

Not today but thanks

kama hujai kula veve uka-feel hiyo steam yake (hata pombe/ciroc kando) basi bado starehe ijakunasa

1 Like

chunga boot

A study found that, when sober, rats prefer
silence, but on cocaine, they prefer jazz.

[ATTACH=full]17019[/ATTACH]

1 Like

Am a girl dear…he’s safe with me

LEO NATAKA KULA MFUPA PREETY KAMA @Female Perspective .