europe ni kuzuri unapiga president slap hivyo tu, jaribu kenya

[MEDIA=twitter]1594958424558735362[/MEDIA]

kama ni mimi naweka cheo ya urais kando tunapambana mundu khumundu

Hii tuliona
Ni ya kitambo I sey

Raila alitandikwa viboko na hakuna kitu alifanya.

hii ni at a different angle ile ingine camera ilikuwa inaangalia mbele

:D:D:D