Europa chronicles

[ATTACH=full]59767[/ATTACH] [ATTACH=full]59768[/ATTACH] Uchambuzi Thursday

Hapo kwa Beer Sheva Soton ikitoboa watakuwa wamejaribu sana. Umecheki stats zao?

Fenerbache (sp) watashinda

@The_Virus uci rule out draw

1 Like

Hata hao wakishinda Feyenoord watakuwa wamejaribu sana. Nimewawekea GG

1 Like

Tamaa iliua fisi, tamaa iliua fisi

Who knows that song?

Kojoa na southmpton

:D:D:DNa Wimbo ya Get rich or die trying unaijua?

1 Like

Nifinye button, nisifinye?
[ATTACH=full]59783[/ATTACH]

1 Like

Feyenord pia sio mchezo

Tusker Sheva v Soton is the only game currently goalless…

edit: yes, and Celta

Mabao zinanyesha all games apart from 2 have a goal at halftime

1 Like

ebu explain hio bet ya game ya Manutd

goli mbili before halftime

risky kweli

1 Like

Mniombee game ya Ajax bao moja ifungwe

Any side ifunge? Hio inawezekana…

Yeah any team. About 10 mins left

Hahahaha…hii ni ile game ya Nuksi. Kuna kitu ime-curve’iwa na winger wa Liege imechapa post ikarudi kwa uwanja…

:confused::confused::confused: