Europa chronicles Second Half....

@Mzee mzima support iko wapi na wapi?
@Shari umeekeza?
@The_Virus bado umeshikilia Fenerbahce?

Fenerbahce wanaongoza. Naona Manutd wameenda na pesa

Man chieth ni bure sana… Nimeeka man u and bilbao

1 Like

Kabisa. Nilicheki kikosi nikadhani kuna tisho hapo. Kumbe Zorya hawana wass na vitisho baridi…

…Feyenord itaweka bao

Genk pia inakamua Sassuolo, na venye wanacheza hata wakipata moja ni bahati…Anyway mimi nishakafunga…

Ulibet aje?

…alikuwa ameweka screenshot Kwa hiyo thread ingine.

but @123tokambio, hiyo Southampton vipi?

1 Like

Soton ilitoka 0-0. Weekend Leicester inachapa hao wasee…

1 Like

Nilikuwa nimepea Sasuolo win, na man Chieth O1.5 Halftime

1 Like

…hehe, haya! Naona ushacheza games Za weekend. Tungoje kaka.

1 Like

[ATTACH=full]59804[/ATTACH]

:D:D

Niaje Uwesmatei Quadjoint Navy seal Ngombe ya Wenger Baba Clichy plus other unknown bastards:D

2 Likes

…Niaje Navy Seal?

Niko hapa sana sana (sun and sand) nakunywa delmonte.

1 Like

Felaini ata kama anasaidia defence yeye ni malenge. He can’t cross. Kazi tu ni maback pass. We should see carrick akiingia huku.

1 Like

Venye hio squad ilikuwa revealed nilijua hapa Zorya wanazoa 6 of the best… kumbe…

GOAL

Manze St Etienne wamejinusuru dakika za kifo…

[ATTACH=full]59817[/ATTACH] hpa uzuri cjatoka kutu