This guy was to be the candidate and UHURU his running mate sijui mt kenya mafia walikaa chini wakaruka boy wetu tena aje . Ruto be afraid , very afraid .
Baba alikuwa amechuja kina liability Ruto wakakimbilia bwana ya lucy awasaidie , BABA akasema ana deal na vijanaa kuendeleza party apan tambua wazee kina @gashwin na mudavadi wakaambiwa waketi paleee .
Githu Muigai naye akaambia baba apan tambua nusu mkate yake
Artur bros wale mambo fiam pia walikuwa wamehangaisha sirikali na baba alikuwa amewapea assistant police comishona .
ICC ilikuwa imeandama Ruto na Ohuru i think ndio Uhuru alikuwa amekunja mkia kukubali kuwa running mate
Nusu mkate gava ni swara kapsaaa unahujwa huku unakimbia huko kwengine .
tuseme tu ukweli. this country will never give Eugene the presidency.
and in those articles MaDVD said raila is ripe for retirement… i wonder what changed