Eti anakujaga Kenya on sunday peke yake for church alafu anaendelea na ile maneno yake

[MEDIA=twitter]1579218613067984896[/MEDIA]

Eti ni kama the fathers who spend most of their time away from home to avoid cries ya watato ya njaa.

[ATTACH=full]471043[/ATTACH]

Atulie nyumbani and sort the many issues affecting kenyans.

Huko si ameenda kuchapa deal ya gesi. Kwani hiyo gesi si ni ya kufaidi Wakenya?

KAZI NI KAZI.

I thought Uhuru alitatua shida zote za Wakenya