Mimi mkiniweka hapa sitoki hata na dawa. Hata niwe wa Migori. Naanza kuimba zile za ‘Sitoki haaapa usiponibariki…’ na ‘Kama huuendi nasi, hatutaki kutoka hapa…’ Lakini kipii ni kipii tu, Noogle itashuka ikaringie wenzake imekuwa na president. Anyway, Forgive them father…
[ATTACH=full]110150[/ATTACH]
What would your advice be to anyone who gets this close to Úthamaki?