Ethiopia to use Lamu port - Uhuru was a visionary

hakuna kitu kama hiyo elder. juzi tu mliandika kwa magazeti ethiopia watatumia somaliland, sasa imekuwa Lamu, huoni izo ni story za jaba?

ata kenya yenyewe haiwezi tumia io port. hakuna mwanabiashara atafuel lorry iendee mzigo lamu, na tangu uzaliwe hujai ona lorry ya ethiopia ata moja kwa barabara za kenya.

1 Like

Maisha iko namna gani huko olpusimoru since jambas took over? How is life huko mau forest compared to era ya muthamaki uhuru?

1 Like

tunaumia lakini tunavumilia.

Better kuvumilia than huyo mutu. Ndio niliskia watu wakisema hapa muranga.

2 Likes

Wi museo wakwitu?

1 Like

nyie ni mukale wa vaa mau narok

Nesa mbaitu

1 Like

Container itatake how long mpaka adis?