I got a new job after being fired for fake certs.I used my legit papers for this .The salary is 45k .Which is the best place to live
Congratulations.
Na kwani ulikuwa umetumia gani fake ama ni za kcse ulikuwa umeona giza ama
hii ni kifaranga ya @Mundu Mulosi Bs Ms Ma PhD and ScD
fake ya masters
Congrats .
Itabidi utafute hio masters, give yourself two years to complete. Fanyia online pale UNISA, it’s affordable and less stressful. Kenya utahangaishwa sana kabla umalize research project.
Hiyo work experience ukiandika kwa cv? Also congrats, ulikuwa umeanza kupost scammy stuffs hapa…
Inadepend place job iko. Thika road has affordable housing. Utawala keja poa zinatokea. South B pia si mbaya. Just weigh cost of fare to rent of a place itasaidia. Place rent ni 12K na ni walking distance to job ni better than place ya 9K fare 4K (ju aside from doh pia time unachoma ni nyingi)
job iko tao
Tafuta bedsitter ya 6-7k Thika Rd uanze life.
Hama kirinyaga Kwa wahindi