Estate gate Disks

Habari zenu wazito, hope mko poa. Ningependa kunukisha vitunguu na nyanya huku kwangu na deal ya hizi estate disks zenye sisi wenye magari hupewa kwa gated estate communities…mtu anaweza produce hii mambo anihit pale inbox na quotes…nimeattach photos kwa wale short wires

Hapa kuna only the short wires. Sioni ukisaidika kaka braza