[ATTACH=full]448738[/ATTACH]
Forever ama hadi next month? Counties zinapenda kuchezea healthcare workers na ecde teachers
Siasa mbaya, maisha mbaya. Wakichezea kura zao kumchagua mwizi wao walitarajia mazuri, sio? Ndio hayo sasa; atawafanya apendavyo. Forever au permanent ni minjiminji ataamua
Hii ni net or gross.
Gross obviously. Net itakuwa 14k, 20k and 30k respectively
Huyu mama ni mkora.