ERC and fuel prices

.
[ATTACH=full]33939[/ATTACH]

Jana nimeshika ngata litre 39 bob nimeanza kuskia nikama niko Qatar msee

NAPENDA SANA

Wapi huko? When the deal is too good…

1 Like

Labda anamaanisha mafuta ya taa

5 Likes

Kerosene

1 Like

Ati Qatar?? :smiley: Huko hawatambui mafuta taa :smiley:

:D:D:D:D

Ngoja upatwe na @Website Developer akuite peasant

3 Likes

Kenya imports fuel from?

Nop…hio ni Arimis…

1 Like

Prices fell months ago world wide this was long overdue erc ni wakora kazi bure

2 Likes

Sasa tusherekee juu ya drop ya 0.92sh? Hawa wasee na hii cartel yao

At least imeshuka it was long overdue