EPL Saturday

Man-useless na Arsenal wanarambwa ndio next week iwe tulivu tuli tuli :grin:

Bado tuko unbeaten EPL. Tunatandika Newcastle 5 Nil nyumbani kwao.

Man Useless wancharazwa 2 Nil.

We all know Arsenal will have a melt down at some point, wa loose like 4/5 games in a row. Kwanza Saka apate injury nyinyi kwisha

Other than game ya Man City… hizo game zingine zote ziko tricky. Heri ucheki game za championship.

Siezi watch EPL kama sio Arsenal ama City wanacheza. Utd game ya kifua wafanye auditions za WWE polepole bila kusumbua.

Flirt GIF by The Vibe is Right