Game ni Saa ngapi Wadau?
Friday games usually start at 10 or 10.30 pm
United first loss
Wah.
By then I will be as high as a kite.
Yessss!
Wacha tupanguze cupboard iko na vumbi saidi
Arsenali kikombe ama ni vikombe…
Kaka @Dudu1 ile sponge na bucket iko wapi ni clean hii place, pia naongeza pertition juu naona major title iki land. Na maji pia. Vumbi mingi saidi.
In the meantime mimi nazitoka tu
Then anglia highlights kesho morning while nursing that hangi. I also don’t enjoy games when am drunk beyond a certain point
Unaanzia season wapi…it feels like a new year banae.
Yetu inaanza vibaya sana on sunday against Man city banae
Chelsea tunaanza na man city waah!
I’ll watch it from my comfortable king sized bed. Usingizi ukinilemea mid match, I dozz off without regrets. Maniqiu is an eyesore nowadays.
Maresca must go, we’re playing very crappy football, karibu tucheze kama Man-u
Brighton doing ile kitu to Man-useless 1-0
Man-useless beaten 2-1 team sio njegaa at all. Arsenal fans, tieni kichwa maji