EPL Match Day 13

Hey Talkers:
Let’s not forget to place our bets here:
http://www.kenyatalk.com/index.php?xfsoccer/matches/premier-league-2015-2016.10/bet&matchday=13
They say 13 is an unlucky number, but I believe its a lucky number for me and its time to reclaim my rightful spot. [SIZE=1](Hapo Karibu na @vuja de)[/SIZE]
[SIZE=4]Super Sato ni Mwoto! Team ya Nguvu Man Utd iko away na Watford( Hiyo ni Walkover)

Arsenal wako away na WBA, Chelsea wako home na Norwich City and mwishowe, the big game Machester
City Vs Liverpool at Etihad Stadium mwendo wa saa mbili unusu saa za Afrika Mashariki.[/SIZE]

TWENDE KAZI, and Enjoy your weekend.

thank you! nilikuwa nimesahau hii mambo ya futa

Its osorait

sisi kama chelsea,tuko bado

1 Like

Sijui niache ku-predict for 1 weekend ndio muweze ku-catch up ama …

That is the spirit, sir!

1 Like

[ATTACH=full]21564[/ATTACH]

Wale wengine labda. @Okiya na mimi tuko nawe sako kwa bako, jino kwa jino, unyo kwa unyo!

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D…:rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Wewe ni kama yule jamaa wa Stanchart Marathon :smiley: sijui ulitokea wapi hadi ukakuwa #2

1 Like

Hahahaha! Angalia my history tangu the very early days za standings nimekuwa nikichezea hapo top three.

today man u will be frustrated.

say that again?:D:D

even though they won de gea had to do extra work,watford sio team man u inashinda na late goal

Deapay ni mauzo tu. That kid should have scored at least 3 clean goals.

he wasted chances man u were strong midfield but finishing they were struggling