EPL Gameweek 34: Official predictions and Discussions thread

I will accept it since dembele gets to foul infront of the referee without punishment :smiley:

2 Likes

Ref ni ngombe tuuuu. Dele Ali amekanyaga Luiz na hata yellow hamna, Lloris amehandle nje ya box, nothing happens. Poor officiating inaharibu hii game

2 Likes

He is disappointing ni kama yule wa Real v Bayern pale Bernabeu.

2 Likes

Mbona Konte kuwacha Costa na Hazard kwa bench? Poor strategy; mnakimbizwa zaidi…

1 Like

Spurs has played well so far. Costa na Hazard wameingia sasa.

2 Likes

Lloris amekuwa maembe siku hizi. :D:D:D:D 4-2.

2 Likes

Hehehehe…
Hapo karibu Conte ajitie. How do leave your best against the best?

1 Like

You were right, game ilichange immediately. Halafu Poch alitoa Wanyama mid ikawa exposed.

Hii kijana Dele ni moto wa kuotea mbali, he’s a real goal poacher.

1 Like

it has worked

he needed to protect the two players and i think he is right. if you’ve looked at the last few games hazard is most fouled and my worry is it’s just a matter of time before he picks a serious injury.

1 Like

bado alikuwa anatolewa kwa mfuko ya Herrera

2 Likes

kesho niko nyuma yenu…

[MEDIA=twitter]855846086182924292[/MEDIA]

2 Likes

Burnley ilikukosea wapi ewe mzee…

So far they are even since Herrera could do nothing but foul hazard when he constantly dribbled passed him in the fa cup match

3 Likes

kumbe nilisoma fixtures vibaya…nilikuwa nathani MUN ndio mko na assnol kwa game ya FA…I withdraw…

Wewe omba man city waonewe, na waongezwe red mbili ndio mkutane na team ya baba…otherwise Man citteh watawakamua kamukamu. Okombe wenyewe man chitty wanaitegea…

1 Like

wrong.

Si tuko tu hapa…

1 Like