EPL Gameweek 34: Official predictions and Discussions thread

game week 34 in upon us, wekeni predictions https://www.kenyatalk.com/index.php?xfsoccer/

watu wa Fantasy pia msisahau

3 Likes

Niko na mia mbili pale elitebetkenya mnasema niwekee game gani leo

Tottenham win

1 Like

Leo lazima Tottemeffi walale…

5 Likes

Acha wanyama pia achukue kikombe ju ata top 4 hatupati

Akina Wanyama wame win sana pia

Wanyama atafute club ya kuchukua okombe nayo, otherwise aende akikaukaga na hio Tottemeffi

2 Likes

machungu ya Arsenal

1 Like

Mnacheza na nani FA, sijacheki fixture yenu…

ni kama mtaichukua

Kuna replay fulani ya Fa ya man u ilikuwa supersport asubuhi.Wamecheza game yao ya leo ndio maana hujaona fixture yao

westham,everton…draw…10k

1 Like

Chelsea’s road to a double will be decided by how the team responds today. Apana tambua Tottenchieth :D:D:D

[ATTACH=full]95802[/ATTACH]

Current standings: Mandraw United has to play away at “park the bus specialists” Burnley while Liverpool play a Crystal Palace team on the rise. The battle for 3rd and 5th rages on.

It will be interesting

1 Like

Mrogi @jumabekavu umekuja sana. Tulia

1 Like

Labda tutaichukua, labda hatuichukui; lakini nina hakika hii season hamchukui FA ng’ooo:D:D:D

hehe onger

A very soft penalty

Chelsea 2 Tottenchieth 1 at half time.

2 Likes