EPL 2016-17: Prediction kings Kujeni hapa.

@vuja de @Okiya, @kermit, @mariachi, @Mathaais, @scotch @Jirani, @WuTang, @m245 @klaus007, @123tokambio, @Kingoo, @Mundu Mulosi, @Alfa_romeo® @shocks, @xuma, @kalel, @bluetooth @mlevi

These were the big wigs in the top 20 in last season’s EPL prediction league. I have not forgotten the rest of the gang who really tried but fell by the wayside due to different reasons like, forgetting to place their bets or by suspensions and/or bans.

The secret is to bet early. Nishaabet game za first…nimimi naongoza saa hii:D:D

@admin tulisema kila mtu awekeree at least 1k. It’s good tujipange mapema.

Of the total bets placed:

[B]Winner takes 50%
No. 2 takes 25%
No. 3 takes 12.5%
No. 4 takes 6.25%
No. 5 take 3.125%
Nos 5-10 share the balance.

Admin kazi kwako.

[/B]

Buda kwani wewe si admin?

wacha maswali ya clinic.
mimi ni staff member.

Sandi sana. Predictions nitaweka next Friday. Iyo 1k inapewa nani?

@admin alikuwa na cloud funding something something last year. Am sure tunaweza rusha huko halafu we inbox him the transaction details.

Sasa hii 1k inatolewa Na each participant ama Ni @admin Na wafanyikazi wake wanatoa ndio mshindi apewe?

Kila mtu awekelee 1K.

Tutajimwayamwaya kwenye huo uchanjaa kwa vishindo!

Its advisable that kila mtu akue amerusha by Friday the 12th or Saturday the 13th by 1pm.
After which the kitty is locked mpaka 2017 last games zikiisha.

Sasa inarushwa wapi, and how will we know Rushas and non-rushas?

Tutarushia @admin. halafu yeye atasema ni nani yuko in contention ya kuwin hio pesa.
However one must have placed the amount inorder to claim the prize.
If for example number 1 had not placed any bet, he relinquishes the prize money to the 2nd person who had placed theirs…and so on and so forth…until we get to the top 10.
So one could be in position 25 but still be among the top 10 who had placed their bet…Will be interesting.

Award only the top 3. Hao wengine hatutambui

Its a good point.
Those who will place the bets will decide the number to be awarded…

Kuna games za championship pia na inaanza kesho

POMBE ILIFANYA NIKASAHAU KUBET OTHERWISE KINA VUJACHIETH HAWANGENIONA , NGOJEENI THIS SEASON .

but sitaki admin ajue mimi ni nani so hii mambo ya mpesa ni tricky .

:D:D:D:D,
Ata mimi naona hapo ikileta shida nikishinda hii kitu.
Apana taka admin kujua mimi.

Acheni ushamba. Ukishinda (but that will never happen), give admin the mpesa agent number of one near you, then uende kuchukua pesa after he withdraws.

NA KUTUMA PESA VILE SIKU HIZI MPESA HUSEMA HUWEZI DEPOSIT DIRECT KWA LINE ?

Mutiso hapo umedinya point.
Game on!

kama huyo mpesa agent ni rafiki yako, unaweza tuma. Hapan tambua safaricom