Environmental terrorism by the rich world.

[MEDIA=twitter]1134761506158108672[/MEDIA]

Hehehe hii ni kama pale Kibera metropolis. Unakunja juala vizuri vizuri unatoka nje pole pole na unaachilia missile kwa upande Okuyu ghaseer wanaishi. Na kesho mchana unapita hapo kuangalia damage. ‘Aah kumbe ilipata Mama Mwangi kwa uso…’