Enigma is in problems

Last year around June kuna mmeru niliuzia masimu.Alinizungusha saidi ikabidi nimeenda kudunga hema kwa ofisi yake.When he came nilikataa kutoka hadi akakubali tukaenda bank aka withdraw 90k akasema niweke kwa account ya kampuni ya mchinku.Baadae akaanza kuwa msumbufu na payments akidai the prices zenye ziko kwa invoice sio zenye tuli agree.
Fast foward last month accounts department ikaanza kuleta shida kuhusu hii account.Wakasema pesa ilipwe.Wakasema hawaoni payment ya 90k kwa mpesa ya kampuni after kuambiwa na mmeru ati alinipea 90k.kuangalia statement yangu maze sioni jina ya kampuni kwa all my three lines.Sijui hii pesa ilienda kwa account gani.
Mchinku ame ni summon kesho asubui for a meeting.Nijitetee nikiwa pande gani.

Sasa umesummoniwa like a little bitch ukapigiwe kelele?

in short you paid 90k for pucci