Eng'iti kupewa empty promise

[MEDIA=twitter]1639216887476396033[/MEDIA]

Ibn Ba “Tuta”!

Hasora hata bei ya boda hawezi. Bure kabisa. Ngombe ici

Hio silence ni deafening:D:D

Tutaweka…zakayo needs to change tune

Huyu jamaa hakunyangi pombe lakini naona ni kama bangi anavuta zaidi.

Wakisii sio wajinga buanah.

Ingekua wakikuyu shangwe na deremooo

Jambazz … “Kwa ground vitu ni different” …