So jana usiku ilikuwa end year party nikaenda na wadosi wangu kukataa kiuno.
Drinks zikaletwa nakwambia nilikunywa nikalewa nikaanza kutapika nakumbuka nikiangukia meza na kuvunja dispenser ya ofisi.
Hio saa wadosi wamechapa but hawajalewa wako to calm wanaongea mmf, saccos na investments.
Nilishtukia tu dere amekuja na kunibeba na kunitoa nikalala nje for sometime
Nakwambia aliniwekelea mabere moto moto.
Saa hii ananiambia general amekasirika.
End year party kwa ofisi?
Ulikatwa kiuno na wadosi
Hehehe.
I remember one time kwa end of the year party tulichapana na my work mate in full view of our bosses.
1 Like