Encounter with Sudanese bandits Part 3

Me thinks all the encounters with the sudanese was @maasai 101 's plan to discourage mhindi from invading his biz

you mean to say aliabaki na hio kiatu, heheheh

But on a serious note, me thinks the next time ukienda sudan beba mchele. Ukipika uji unaiweka kwa thermos mbili tofauti. Thermos one label it uji yetu. Thermos two iwe uji ya wageni,this is the thermos that you will heavily lace with mchele. Ikuwe a classic tale of hunter hunted

And then? Truck is still stuck. And there’s still a return trip. Those bandits will wake up ready for war.

Biz ya security inaeza ivana sana hii route. Find a few sudanese in Kenya, arm them then mkubaliane bei.

one man’s problems is another man’s blessings.

Leta hiyo hekaya ya simba.

seconded hekaya ikuom

Thirded, ikam

You burrry them neck high

Nice idea am planning to script it. Na itakuwa a kenyatalk production.
Written by ndauwoh 101. Batallion ya plagiarism nitakuwa nimewatoka.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D can’t stop laughing

Tafuta director watu wataacha kupiga kelele juu rafiki.

:D:D:D:D:D:D

:smiley: :smiley: :smiley:

This is some funny shit! @maasai 101 anzisha blog. Hizo story zako kama ni ukweli inaweza kukupatia pesa on the side

Hao lost boys wako hapa majuu. In my clubbing days, they used to frequent a club/hole in the wall that I used to patronize too. Wakilewa ilikuwa vita saa zote.

Huku Nakuru they used to frequent club 64 then wakilewa wanaanza vita. Patrons started deserting the club until at one point raia zika anza kuwapiga. Walikua wanapigwa mob justice na kila mtu hadi waka tulia. Then kuna time mtoi wa a sudanese diplomat aliuliwa juu ya grudge na raia ikabidi watulie

Si basi wana criminal records noma sana.

:D:D:D:D:D, Sad for the kid though, he didn’t deserve to die in such circumstances.

Hapa pamba umeongea kama wanaume watano hawajanyoa…