Encounter with Sudanese bandits part 2.

The tension was palpable, as the two groups looked at each other. Someone had to take the initiative and i so went down on my knees lifted my plate in the air and offered my food promising them more if they did’nt harm any of us. Their leader took my plate, tasted ugali spinach na canned fish. Akaona iko poa… he then didn’t need a second invitation, he took the whole sufurua wakakula na hao wengine kama tunaangalia in silence. On wiping the sufurias clean including what was left on the other plates, wakarudisha sura za kazi.

Mmoja aka cock AK, na kuwachilia kama tatu kwa hewa… Patel wanted to run, nikamshika kwa nguvu and forced him kneel beside me. Then came the shouting "Money!!! Money!!! Money!!!.. Kila mtu akatoa what was in the pocket, wengine wanapita wakiitisha zile nguo umevaa, and trying them on hapo hapo. If the size is too small anapatia the next bandit, ni kama wako kwa soko. Poor patel alikuwa amevaa boots smart sana, za CAT zilienda the first day, hata jeans yenye alikojolea hawakuwacha.

They then disappeared into the shadows they had appeared from. We were all left with just boxers and silently as if everyone then realizing they were naked, we all scattered to our respective trucks nikaingia kwa cabin kuvaa mtumba pair number 2.

As i sat in the cabin wondering what Sudan had instore for us the following day since the trucks were still stuck. Patel knocks on my cabin door still naked, kumbe as others were robbing us kando ya truck wengine waliingia ndani ya cabin wakabeba suitcase ya patel.

Haiya mhindi hana nguo hata moja…

Part 3 coming up shortly.

Part 1 iko wapi?

Hapo chini

Afande ni ulevi, hangover ama bado haujaamka?

Hekaya ya kurushwa na wazungu ulifikisha wapi?

Huku Kwa admin threads siku hizi hazifatani ama ni mimi pekee yangu,unapata new post na niya last week.

Ambiguity at its best…

Niko tu afande, labda wewe

Click on all threads

Ngai, mlifika Juba kweli, endelea nawe, dont keep us waiting

Ndio naandika boss.

ikwom speedi

:D:D shait

:D:D:D

hizi hekaya si ungeendeleza tu kwa thread moja maasai

Isorait bora tu amalizie

Where’s part 1?

https://www.kenyatalk.com/styles/default/xenforo/smilies/biggrin.pnghttps://www.kenyatalk.com/styles/default/xenforo/smilies/biggrin.pnghttps://www.kenyatalk.com/styles/default/xenforo/smilies/biggrin.png

happy shawa isorait…

Great piece