Employing relatives is business threat

Last month my aunt kept telling me nipe kijana wake kazi… so I gave in nikaleta kijana kwa shop …
Kumbe ni wale vijana wameshinda wazazi…
He reports late to work , reports with hangovers , kama siko anakunywa mchana pombe…
I talked to him to leave this vices but hasikii…

Sasa Leo asubuhi a customer returns a charger n battery she bought , she wants replacement …I ask her nani alimuuzia coz haiku kwa record… my cuzo sold it to her na akanidaganya ameenda home kidogo but hakurudi … 800/= alikunywa yote …kumuuliza after kufika job …he tells me he forgot to record … I ask him for the 800/= hana …

Guys how do u handle such ? Nifute hii ghasia nalipa 450 on daily basis plus lunch ni 550 kazi tu rahisi ya kuuza kwa shop…pia ghasia nimeipee nduthii ya kufika job

Fire the bitch

Pea yeye last warning. Maisha ni ngumu machaa

patia @Thirimaii number yake atashughulikiwa. @Wanaruona pia alikua na hiyo tabia kabla apatane na @Thirimaii sahii ametulia kwa muhindi

Rule number 1: never hire a relative kama hauwezi mpeleka Kwa karao

Futa yeye kazi.

Thank you for caring,please keep referring them to me.

Fire him…sijui mbona unafikiria sana…

Unalipa mtu 550/- a day ka mtu wa meljengo alafu unajifanya big man bazuu? Ibiwa kabisa nugu. :D:D

Kilichobaki ni kutoroka na pesa zote za sales since he has nothing to loose anymore. Kama ni jina lishaharibika.

Mzazi ameshindwa kunyorosha kijana wake amekuletea usumbuke na yeye. RUdisha kijana kwa mamake umshow huyo hasaidiki. Mzigo si yako kubeba.

Niliajiriwa mimi pia by my aunt…I sank her shop to the ground like a motherfucker. I wouldn’t recommend.

Wait untill you go to your shop to find empty shelves ndio ufute yeye. Rudishia mzazi mzigo yake, apana bebesha handball

Faya him before he brings you down.

It hurts to fire him …but I have no choice wacha wazazi wake wasemange mimi ni mbaya …

Better safe than sorry

Fire that Maafaka na akizusha muekelee Kofi ya ajab

Never trust em relatives. Maybe he was sent there to pull you down. You never know

Nguvu ya kuandika relatives mnatoanga wapi? Some starving dogs only need a little energy to bite you. Learnt this the hard way after bringing in my little bro to my first hustle to save him from bad influence and give him something to keep him busy after high school. Nigger looted the business to the ground na hakuna kitu ningefanya coz he was mum’s blue eyed boy. Umbwa yeye.

…no mercy