[MEDIA=twitter]1617807955973505025[/MEDIA]
@Yuletapeli time to find another matatu crew. Hawa hawawesi kazi kabisa
[MEDIA=twitter]1617807955973505025[/MEDIA]
@Yuletapeli time to find another matatu crew. Hawa hawawesi kazi kabisa
:D:D:D
One thing I have learnt this January ni kwamba watu wanatembea na very short fuses juu ya vile maisha inawapeleka. Kitu kidogo tuu jamaa ako na wewe. Siku hizi mimi ndio huwa najipata nikifanya deescalation most of the times.
Kaderee ame amua this time haendi bila mshande. Huyo konda ina onekana anakula múkinyo pekee yake.:D:D:D
That was predictable. Vile alirusha io teke ya kwanza … I was more than certain atalamba chini next.
Hilo bonge lingevunjika mgongo , tungeanza kuikanyangia bibi.
Hio ni kujibizana ndio ilileta shida, olkinda can be very rude. Na kutupisha gari mbao wanaenda bila kakitu ama ni stress za January. Sahi kume gatha
I hope unapiga zoezi ama mli postpone ile ndondi juu naona ukirushi ngumi irudi kama imekupiga KO…:D:D
:D:D … bondia bronze medalist Beijing Olympics @Wanaruona si mtu wakuendea ivyo tu fwaa … utajipata unalamba lami aisee. Lazma ni station sniper wangu … awe radar kuwekelea copper on bondia big toe kaa warning akilemea mzito. Akiendelea kuniona war … anakula ya matako kama final warning.
:D:D:D
Noma mdau. Pia Mimi Niko juu ya dimanga.
Sijawahi ona January kama hii, job zote ziko down. Delays Kila Kona but tunasemanga ni huu mwezi tu. January effect.
Mimi niliona mkono wa Bwana. Last week nikipata side hustle ya 40 gees. Hio ndio na lamba lamba pole pole nikichungulia kijiji.
Sponsor hio tournament nikumalizie wechez na tko
Wechez ni Nani? Wewe siwezi enda na wewe more than fifth round. Rules no 3 knockdown tuna toa. Pia saved by the bell tuna toa. Tupatane Palpal on Friday.
Usijali doo huingia provided unachapa job. January huwa tricky.
Langata,na ubebe spade,be prepared to fight to death,only one of us will walk out of there alive and it will not be you
Peana date na time. I will be the last man standing.
Motokubwa utaona moto kubwa saidi. Hapo hakuna ku surrender. Weigh in iko lini
@Wanaruona hapa Kuna featherweight anadai kurushiana makonde na heavy weight. Hakuna kuleta crude weapons kama rungu kwa ring @Gaza ashaingia mitini
Hehehe hii clip ilinichesha sana. Hata huyo donda alicheka. Niliiona Sikika