Embarrassing Moment

Kitambo hii decade ikianza nililand Nai from Ngamia 1. Enyewe nilijua jogoo wa shamba hawiki mjini. Unajua ukiwa boychild vile life hukuchapa. Kudishi ni mess tu ugali na mboga:( Life was hard manze. Halafu wale madame ulijuana na wao ocha wanapanda bei haraka kuliko bitcoins. Sasa day moja nikitoka Upperhill kushughulkia KASNEB nikaona dame najua akiwa na company ya slayqueens wawili. Nilikuwa nimevaa jeans imefade, timber fake za simbaland na jersey ya arsenal. “Niaje Bhakita”… nikaangaliwa kama meffi from head to toe halafu mmoja akauliza " Bhakita do you know this clown?“…akadai hanijui,maybe ni msee stalker. Huyu ni dame niliivisha accounts asifail exams. Nilikunja mkia nikaondoka wakacheka. From hiyo day kama nakujua from anywhere, tupatane Nai, siwes kusalimia unless unisalimie nisalimike. I met Bhakita last Dec huko ocha X-mas eve. Anakaa mama na amebeat. “Heeyyy M2Random”…” Fuck off!!Gerrarahia. Shieeett". Nilikuwa high but mabeshte walidhani nmechizi juu ya umfukuza kama burukenge.

Walikuwa single mothers?

Ningekua nabet ningewekelea over 1.5 that Bhakita is a single Matha maybe twice

Fixed, mbaff!!!

I was born n raised in Nairobi and still say hi to people I know even if it’s a quick hello when I’m busy. Don’t lower your class because of highrise buildings and fast-food places.

Mimi kama nakujulia past 1 year, siwezi kusalimia. Ukinisalimia ni sawa nitasalimika vizuri, but sio Mimi nikusalimie

Simbaland mzae,SIMBALAND:D:D:D:D:D:D

Buda. Ocha hakukuwa na timberland. Hizo imbo ndizo zilikuwa zinauzwa na msee anatesa nazo:D

Hii story ya Kulapwa naitambua sana tena saaaaana. Too bad mimi grudge hailast sana. But vile @123tokambio amefix hapo juu, edit post chapchap kabla edit link iende.

Life is a bitch mind how you treat her. MORAL OF THE STORY

Mimi nikipata chance ya kurevenge lazima mostly juu sipendi kubebwa ujinga na Nina photographic memory

Some people don’t deserve clemency babaa. Kuaibisha yutman ni a capital offense.

Fisked

M2randon when are your kids due?

Ukiniuliza hii swali tena nitakufanyia FGM.

Mm lakini nlipata kadame ka ocha uko upperhill nkitafuta job. Weeh kako uko na watu wamedunga masuti wako machat one two. I went over there na kumuita kwa jina yake ya ocha “wairimu … wairimu … nimu… kanims” sasa naona ananinecki na kale kajicho ka chini ya maji. Mimi na uocha wangu nkaenda nkajaribu kumpatia handshake. Mtu mmoja wa suti alisema “unajua uyu fala” kanims alisema uyu ata simjui “He looks like a beggar from our shagz”. Ata handshake sikupewa wooii nliweka mkono kwa mfuko na kuenda kabisa.

:D:D…hiyo kitu huuma. Heri kulengwa na stranger juu hutafeel mbaya

Sana nikama kupewa dagger kwa roho… Then mtu anakugotea mkiwa ocha ni kama hakumbuki hii scenario.

Mimi ilihappen hiyo once na nilirevenge Dec.

:D:D:D:D. Karee wee secret muruithia wa atumia Kiambu? The practice was abolished them days huko.

Does not exist in Greater Kiambu. I will report you to our Gav Baba Yao.