Embarambamba akitoa kina kasee siaka pale Paipu

Huyu mkisii uki-attend “concert” zake lazima uwe alert throughout

https://www.youtube.com/watch?v=UIXvpOgaPOo:45

This guy has a mental issue. He will one day cause a major stampede

He is the only night-runner in Kenya earning a living from his talent.

hao wanakimbizana nayeye ni security?

Hio umati wa omubonobo just came to watch that mogaka?

Shida tuko nayo ni kubwa zaidi than we thought

Hao wanakaa part of his crew, ni kama wamezoea vituko zake.

The guy once complained about not being allowed to perform for Uhuru. You wonder who in his right mind would allow him near the president given his unpredictable antics.

Huyu jamaa kuna siku karibu akamue dem kwa stage.Stima ingepotea hio siku angeingiza njwang’a na watu wangefikiria ni part of the performance banae

:smiley:

Physically fit & very flexible man. Uchizi ndio humpunguzia alama.

Kenya kuna shida kubwa sana. Hio crowd yote imekosa kazi wakaona wajipe ya kutazama embarambamba?

Habari ya paypu? Hio stage ikoje sahii na hii mvua?

So many idle unemployed people in Kenya

Wanangoja Baba aseme warushe mawe on monday :smiley:

Iyo ngoma yake inasema ati “ile nguo ya Yesu ilipotea sasa imepatikana” :D:D:D:D:D

Kuna wakati alipandilia ndama akaiwekea lawama haizaangi hata baada ya Ai kumi

Kama tugege tunajaza stadium to watch a witch mumble gibberish
Zero difference

TALENT!!! :D:D:D
That’s pure madness.
Nguo ya yesu imepatikana.

Huwa nasema suppose tukivuka hio side ingine and learn that it was all a lie…and everything that is considered a sin sio dhambi and lanye eating was God’s plan :smiley:

:D:D jamaa Huwa chizi

It is a lie. And God was introduced to us fairly recently… We had Nyasaye and the others

Never heard of him till now.Nafaa nitoke nje,hii introvert lifestyle tamalisa Mimi.