[ATTACH=full]245610[/ATTACH]
Lazima hio Mercedes ni ya msapere. Penda sana
FB = road kill, rudisha huko !
Tuko mukuru pia sisi
Half–male down, after DUI ends with a meeting with one of Hustler’s concrete posts.
Yaani hiyo mercedes imegonngwa hivo na bado mtu ako na chance ya kusurvive? Ingekuwa ni ka demio, vitz ama hizi vitu zingine kama tiida, wingroad ama premio, I wonder about the chance of survival.