Elon is genius

[MEDIA=twitter]1625377144137461761[/MEDIA]

C

Copied… But still funny… :smiley:

He just retweeted an old meme

some fool up there has already branded him a genius, kuwa na pesa ni kitu mzuri, hata ukiandika tu dot(.) utasiifiwa na kuitwa majina kama “genius”

Musk siku hizi ni meme lord wa twitter.

Jamaa wa manjesta niaje

poa sana, naskia mmetumia KES 45 Billion January lakini draws tatu mfulilizo is what you can show for it

Give the young boys time, next season ni yetu