Kwani hiyo maji ni kama ile ilifanya Sister Irene afanywe saint, self replenishing?
NIAJE MATHIGHS
Mifereji ya wakanyama ina operate kama drip ya hospitali
[ATTACH=full]27691[/ATTACH]
Nimepanda nyasi,we millionaires donāt believe in placing concrete everywhere. Roof niliweka kitambo,
Kuna borehole, ni vile pump haiwezi shinda ikiwa on,na ya kanjo iko pia
Borehole ilienda mita ngapi? And did WARMA approve it?
Ya kwetu hata kachumvi haina,
Kingāeero?
Poa Uwesmakei.
Huko ni wapi?
Kingāeero =slaughter house.
Karibu wangige
For the first time karibu maji inihamishe kwa nyumba. Drainage za mtaani clogged proper. Nlikuwa nishaanza kupack vitu muhimu nihamie kwa neighbor first floorā¦
:D:D Wakanyama amepokea leo.
⦠the more it rains in nbi the hotter it gets in msaā¦
Alafu io mabati ni ile ya maskini⦠Usitumie mabati eka rooging shingles
[ATTACH=full]27700[/ATTACH]
Hako kanyumba ni karental ,tenant hatakiwa awe comfortable sana akiwa kwa wenyewe na bora kusinyeshe,
Hii nitaweka ile palatial mansion nitajengea my bae @Akeelah
HUYO akellah tutakukamulia ulie
@Wakanyama naona ukona tank kubwa ngāombe zitakuwa na maji ya kutosha